Wananchi wa Shehia ya Kwamtumwajeni wakimsikiliza Sheha wakati wa mkutano wa uhamasishaji wa chanjo ya Surua, polio na Matone ya Vitamin A. Agizo ambalo alitoa mhe mkuu wa wilaya ya Mjini Mhe. Rashid Simai Msaraka la kuwataka masheha wa shehia zote 56 kufanya uhamashishaji wa chanjo ya polio surua na matone ya vitamin A.