Masheha wa Wilaya ya Mjini wakipata mafunzo ya uingizaji data za maafa katika Skuli ya Dr. Shein Zanzibar. Mafunzo hayo walipatiwa na Maafisa kutoka Kamisheni ya Maafa.