Harakati za usafi eneo jirani na Tume ya Maadili ya Viongozi zilizofanyika Jumamosi . Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mjini alihudhuria usafi huo ambao uliandaliwa na Wadau wa Mji Mkongwe na Shehia ya Mnazi Mmoja.