Mkuu wa Wilaya ya Mjini Ndugu Rashid Simai Msaraka amefanya maongezi na Jumuiya ya Daawatul Islamiyya kuhusu kusaidia ujenzi wa Shule, Msikiti na Madrassa za Watoto Mayatima katika Visiwa vya Zanzibar.