Home Habari za kijamii Wilaya ya Mjini imetokea mshindi wa kwanza katika mashindano ya kuhifadhi Hadithi za Mtume (S.A.W) kwa watoto Yatima Mkoa wa Mjini Magharibi.

Wilaya ya Mjini imetokea mshindi wa kwanza katika mashindano ya kuhifadhi Hadithi za Mtume (S.A.W) kwa watoto Yatima Mkoa wa Mjini Magharibi.

by

Ekeza kwa Yatima , Wilaya ya Mjini imetokea mshindi wa kwanza katika mashindano ya kuhifadhi Hadithi za Mtume (S.A.W) kwa watoto Yatima Mkoa wa Mjini Magharibi kwa ngazi ya nusu fainali, mashindano hayo yamefanyika katika Wilaya ya Magharibi A Kianga Unguja.
Wilaya ya Mjini itawakilisha Mkoa wa Mjini Magharibi katika Fainali ya mashindano hayo kwa kushindana
na Mkoa wa Kusini Unguja na Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 

related posts

Leave a Comment