Afisa Ushirika Wilaya ya Mjini na Afisa Ushirika Wilaya ya Magharibi B, wakishiriki katika ziara ya kujifunza pamoja na kubadilishana uzoefu katika Manispaa ya Morogoro Dodoma na Iringa akifatana na Ushirika wa Makuli Multipurpose Co-operative, inayojishughulisha na shughuli za uchukuzi wa mizigo katika bandari ya Malindi Unguja.